Mm ni Baushi Hamisi nilizaliwa likoni nimekulia likoni na nimesoma likoni na biashara yangu hiko likoni na ni duka la samaki
Kila siku na hakikisha nimeuza kilo kumi kila na kwa kila kilo na pata faida ya mia kwaio kwa siku naeka shilingi elfu moja kwa faida
Biashara yangu himeshuka nataka kuengeza mzigo kulingana na orders zenye napewa naona afadhali niongeze mzigo kwa wingi hili wateja wangu niwaridhishe
Biashara ya samaki