Mimi Nina uaminifu wa hali ya juu sana. NA nimtu mwenye bidii kwa kutafuta jasho LANGU. kwani Nina majukumu ambayo yanifanya nijitume sana ili tupate mafanikio.
mimi nina duka langu ambalo Nina uza badhaa ki holseller. na faida yake kwa siku si chini ya 2k. istoshe ,nimeajiriwa pia.
nitatumia kujalizia stock yangu kwa bishara zangu. pia Niko na pikipiki ambayo na plan kuongezea nyengine ya biashara.
To increase my stock