Kimani
Nairobi, Kenya
100% repaid
Name
Kimani
Member since
June 2017
On-time repayments
4 installments • 100%
Maishani mwangu niliishi kuajiliwa lakini sikufurahia nilitamani kuwa nabiashara yangu nikapata 2012 vile nilipata msahala nikaanzisha biashala ikainuka kidogo kidogo kwa sahii na weza lipa kalo,nalisha watoto biashala inanisaidia kwa maisha yangu na watoto ndio naoba mnisaidie niinue híi biashara tafadhali
Hii biashara ina nisaidia sana huwa napata 2000 siku zenye kazi iko sawa na ile kidogo na pata 500 lakini iko chini ndio naoba mkopo niongeze stock. Niko na wazo lingine nataka kuongeza nguo tofauti ili zii nue hizi zingine nipanue kazi ili kutafuta mapato mazuri ya kujikimu kimaisha.
I will buy clothes to increase my stock hoping that you will assist me with more so that i can change my business to another successful one.
Positive
None
Neutral
None
Negative
None
Project Type
Classic Loan
Disbursed amount
$3.00
Date disbursed
Jun 7, 2017
Repayment status
On Time
Projected term
3 weeks
Other loans
Ask Kimani a question about this project, share news and photos of your own, or send a simple note of thanks or inspiration.