Abdu
Kikoneni, Kenya
1% repaid
Name
Abdu
Member since
October 2017
On-time repayments
35 installments • 6%
to make my business continue well yan biashara ipo na itazdi kuwepo mana ndo kazi yangu kulingana Mimi mwenyewe pia mlemavu wa miguu natembea kwa willchear kwaiyo naomba loan zidisha iweze kunipa kupanua biashara yangu
I am a carpenter is my office iyo ndo my office yngu ata nliajiri vijana nkiwa Kijana mwenzao kwa ajili ya maendeleo kwani nipo nayo mda mrefu zaidi ya miaka 7 sasa inapata
kwa kutumia loan yangu ntanunua bidhaa za kazi yngu kama mti kupasua mbao na kueka hili nsipate tabu sana kulingana mimi mwenyewe ni mlemavu wa miguu ndo mana nkamua kuajiri watu hila nipo mwenyewe kwa office yangu
Positive
None
Neutral
None
Negative
None
Project Type
Classic Loan
Disbursed amount
$195.00
Date disbursed
Nov 30, 2017
Repayment status
Late
Projected term
7 months
Other loans
Ask Abdu a question about this project, share news and photos of your own, or send a simple note of thanks or inspiration.